GET /api/v0.1/hansard/entries/361129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 361129,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361129/?format=api",
"text_counter": 497,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mhe. Spika, asante kwa fursa. Namshukuru Mwenyezi Mungu kupata fursa kuchangia Hoja ya kihistoria katika Taifa la Kenya. Kwa nini ninasema ni Hoja ya kihistoria? Ukisoma kifungo cha sheria 152(2) inatoa uwezo kwa mara ya kwanza katika Taifa, Bunge kama taasisi kupitisha pendekezo lililotolewa na Rais wa Taifa. Hii ni historia kubwa."
}