GET /api/v0.1/hansard/entries/361136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 361136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361136/?format=api",
    "text_counter": 504,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Bi. Naibu wa Spika, silipotoshi taifa. Prof. Anyang’-Nyong’o hatoki eneo la Pwani. Mhe. James Orengo hatoki eneo la Kaskazini Mashariki. Mimi sipotoshi Bunge. Nazungumza nikijua kilichotokea. Kwa hivyo, nataka kumuomba mheshimiwa aangalie idadi ya Mawaziri---"
}