GET /api/v0.1/hansard/entries/361141/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 361141,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361141/?format=api",
    "text_counter": 509,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Ahsante, Bi. Naibu wa Spika. Nikiendelea, lengo letu si kuangalia ni mkoa upi umewakilishwa kwenye Baraza la Mawaziri. Lengo letu ni kuona jinsi huduma ya Serikali itakavyomfikia Mkenya popote alipo, bila ya kujali kama anatoka eneo la Tana River, Kaskazini Mashariki ama Nyanza. Lengo na maudhui yetu---"
}