GET /api/v0.1/hansard/entries/361148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 361148,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361148/?format=api",
"text_counter": 516,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Nikiendelea kuzungumzia tunayojiuliza leo kwa mara ya kwanza, haswa nikizingatia kwamba baadhi yetu wanasoma vipengele fulani vya Katiba kwa sababu vilema hawamo kwenye ratiba ya walioteuliwa; nakiri kwamba kwa sasa vilema hawamo kwenye ratiba ya walioteuliwa kuwa Mawaziri lakini uteuzi huo bado haujakamilika. Hivi sasa, tunawakagua wateule 14 lakini Katiba imeruhusu kuteuliwa kwa Mawaziri wasiozidi 22. Kwa hivyo, hii ni shughuli ambayo bado inaendelea."
}