GET /api/v0.1/hansard/entries/361296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 361296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361296/?format=api",
"text_counter": 664,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi Country Women Representative",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "(Hon. (Ms.) Katana): Ahsante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunitetea. Nikimalizia, uteuzi huu umezingatia kanuni za Katiba zinazoangazia usawa wa jinsia. Mheshimiwa Rais na naibu wake wameangalia sana suala hilo na wamewapa nyadhifa kina mama ambao wana uwezo kama sisi katika utenda-kazi. Kwa hayo---"
}