GET /api/v0.1/hansard/entries/361609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 361609,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361609/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "The Member for Turkana Central",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, shida nyingine ambayo wavuvi wa Turkana wanapata ni mambo ya kuvua samaki kwenye ziwa. Wanatumia teknolojia ya zamani, na jambo la kushangaza ni kwamba wakati upepo unapokuja unasukuma hawa wavuvi mpaka katikati ya ziwa. Wanapofika katikati ya bahari wanashikwa na Kenya Wildlife Service (KWS), ama na Marine forces na kupelekwa Marsabit. Mimi nauliza sasa hawa watu ambao wamesukumwa na upepo, kwa nini washikwe? Si kupenda kwao kuingia kwenye sehemu ambayo hawastahili kuwa, lakini upepo unasukuma hadi mahali anaposhikiwa. Baada ya kushikwa badala ya kuletwa Turkana na kushtakiwa pale wanapelekwa Marsabit na kushtakiwa. Sasa tunatumia nauli kubwa ya kwenda mpaka Marsabit kutoa hao wavuvi kwenye jela, na tena kuwarudisha mpaka Turkana. Hii ni shida kubwa sana. Hii ndio"
}