GET /api/v0.1/hansard/entries/361614/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 361614,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361614/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mwisho kabisa kuna shirika la Turkana Society ambalo lilibuniwa. Mpaka leo wana majengo makubwa makubwa pamoja na mashini kubwa kubwa. Lakini kwa sababu ya uzembe wa Serikali hawajajaribu kuzitengeneza bidhaa ili shirika lao lipate kujisaidia. Ninapounga mkono Hoja hili ninamwomba anayehusika na mambo ya samaki ahakikishe kwamba shirika hili limepewa msaada ili liwasaidie watu wa Turkana."
}