GET /api/v0.1/hansard/entries/362112/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362112,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362112/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchukua fursa hii kukushukuru kwa kunipatia nafasi hii niweze kuichangia Hoja hii. Vile vile, ningependa kumshukuru mhe. John Mbadi kwa kuileta Bungeni Hoja hii muhimu sana inayotuhusu sana sisi watu wa Pwani."
}