GET /api/v0.1/hansard/entries/362115/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362115,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362115/?format=api",
    "text_counter": 311,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ni maskitiko makubwa kwamba ndugu zetu wavuvi wana ujuzi kamili wa kuwawezesha kuifanya kazi hiyo lakini hawajapata usaidizi kikamilifu kutoka kwa Serikali yetu kama walivyosaidiwa Wakenya kwenye sekta ya kilimo na sekta nyinginezo. Hivi sasa, samaki wanatoka sehemu ya Lamu na kupelekwa kuuzwa Mombasa. Kuna sehemu inayoitwa Majengo. Huko ndiko wanakouzwa samaki hao –"
}