GET /api/v0.1/hansard/entries/362121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362121,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362121/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, tatizo lingine linaloikumba jamii kutoka sehemu ya Lamu ni hili: Utapata samaki wanatoka Somalia na kuletwa kuuzwa Kenya. Soko la wavuvi wa Kenya linakuwa halina maana kwa sababu ya samaki wanaotoka Somalia. Hali hii haijawahi kuangaziwa na kudhibitiwa. Ikiwa tutatoa Samaki Somalia na kuwauza Mombasa, yule anayevua samaki Lamu hatakuwa na mahali pa kuwapeleka samaki wake."
}