GET /api/v0.1/hansard/entries/362128/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362128,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362128/?format=api",
"text_counter": 324,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, nina imani kwamba sisi sote tutaungana pamoja na kuipitisha Hoja hii ili kuhakikisha kwamba tumeweza kuwasaidia ndugu zetu kwa kuweka mikakati ambayo itawasaidia kwenye shughuli zao za uvuvi. Kwa hayo mengi, naunga mkono Hoja hii."
}