GET /api/v0.1/hansard/entries/362150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362150,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362150/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii na namalizia nikisema kwamba swala la mikopo ni swala sugu kwa wakuzaji wa asili kama reproducers. Hili ni swala ambalo limepelekea limbikizi la madeni kwa wakulima wa kahawa, mahindi na sekta zingine. Nimewahi kuwa Mwenyekiti wa kamati maalum iliyobuniwa na Bunge hili katika Bunge la Kumi ambayo ilipewa jukumu la kutembea taifa nzima kujionea vile Wakenya wanavyoishi na vile wanazalisha uchumi wao. Nilishuhudia hali ya kutatanisha sana."
}