GET /api/v0.1/hansard/entries/362156/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362156,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362156/?format=api",
"text_counter": 352,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "The Member for Lungalunga",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": " I think so, hon. Temporary Deputy Speaker Sir. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Imekuwa ni kindumbwendumbwe kikubwa kupata fursa hii lakini nashukuru Mungu na nakushukuru pia wewe kwa kuwa katika hicho Kiti leo. Shukrani nyingi napeana kwa wananchi wa Lungalunga walionichagua mimi, Khatib Abdallah Mwashetani kuwa Mbunge wao, mtetezi wao na kuwa mchungaji wao kwa mambo ya kimaendeleo."
}