GET /api/v0.1/hansard/entries/362157/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362157,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362157/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "The Member for Lungalunga",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Kusema kweli, swala hili la leo limenishika sana kwa sababu kitengo kikubwa cha uchumi katika maeneo yangu ni uvuvi. Lakini uvuvi huo vile vile umezembeka kwa sababu ya mambo mengi. Waheshimiwa wengi wamezungumza na wameeleza mengi lakini niko na sababu zangu zile ambazo ni sugu ambazo naziona zimeleta uzembezi katika kuwajibika katika uchumi wa uvuvi."
}