GET /api/v0.1/hansard/entries/362158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362158,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362158/?format=api",
    "text_counter": 354,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "The Member for Lungalunga",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, Vanga ni eneo langu ambalo wananchi wanategemea sana uvuvi. Kwa kweli, Serikali ilifanya juhudi ikatujengea cold storage ama sehemu ya baridi ya kuweka samaki. Lakini, vile vile, kule Vanga, tunategemea umeme unaotoka Tanzania ambao ni Tanga. Umeme ule ndio unaoendesha ile cold"
}