GET /api/v0.1/hansard/entries/362162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362162,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362162/?format=api",
    "text_counter": 358,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ama ile sehemu ya kuwekea samaki. Umeme ule hauna hakikisho ya kuwa utakuwa kila siku. Wakati mwingine, ule umeme unakatwa pasi na wananchi kujua unakatwa kwa sababu gani. Ni kwa sababu ni umeme unaotoka sehemu ambao si ya Kenya. Basi, wananchi wanakosa namna ya kujieleza na namna ya kupeleka malalamishi yao kuhusu swali hili. Kwa hivyo, utakuta ile cold storage ama ile sehemu ya kuwekea samaki haitumiki na Serikali ilitumia fedha nyingi kujenga sehemu hizo."
}