GET /api/v0.1/hansard/entries/362163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362163,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362163/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, mimi naomba Serikali, kupitia kwako Naibu Spika wa Muda, tufanyiwe mikakati tupate umeme wetu kutoka Kenya ili uingie katika sehemu za Vanga, Shimoni na Kilimagondo. Sehemu hizo zote zimekosa umeme; zimekosa muelekeo. Watawezaje kujiendeleza kimaisha ikiwa kitega uchumi chao ni samaki, na hawawezi kuwahifadhi samaki hao ili kupata pato la kesho?"
}