GET /api/v0.1/hansard/entries/362165/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362165,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362165/?format=api",
    "text_counter": 361,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kulingana na Kipengele cha 95 cha Katiba, mimi ni Mbunge aliyechaguliwa. Ni haki yangu na mananchi yeyote kuzungumzia matatizo inayotusumbua sana katika maeneo yangu. Tatizo kubwa ambalo linatusumbua ni la mashamba. Sasa hivi, tumetoka kwenye kura ambazo tulipiga vizuri na kuweka Serikali mpya. Lakini kitu cha kustaajabisha ni kwamba katika wale ambao wanaitwa kwa lugha ya Kiingereza absenteelandlords – wale mabwana ama mabwenyenye ambao hawakuwa huko, sasa wamerudi. Wanaambia wananchi wangu waondoke katika maeneo hayo ama mashamba yale ambayo wameyamiliki lakini, kwa wakati huo, hawakuwa na njia ya kuyafikia kwa sababu ya uongozi uliokuwepo."
}