GET /api/v0.1/hansard/entries/362166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362166,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362166/?format=api",
"text_counter": 362,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, mimi naomba Serikali kupitia kwako Mhe. Naibu Spika wa Muda kuikaribisha ile tume ambayo inasimamia mashamba pamoja na viongozi wa kutoka kaunti ili, kabla wananchi hawajafukuzwa, tuhakikishe tumekaa na tumeangalia ni namna gani mashamba hayo yaligawanywa. Kwa hivyo, mimi naomba Serikali, kupitia kwako, isimame kidete. Kupitia kwa Tume iliyochaguliwa ya mashamba, wananchi wangu wasiondolewe kutoka mashamba hayo. Mfano wa mashamba hayo ni Vitangaleweni, Kilimagondo na Shimoni. Nashukuru Tume ya Ardhi kwa kuregesha mashamba kama vile Kisite na Mpunguti kwa Serikali."
}