GET /api/v0.1/hansard/entries/362179/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362179,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362179/?format=api",
    "text_counter": 375,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "na akina mama hawawezi kuweka samaki wao hapo. Hivyo basi, ni lazima fidia iwe katika sera. Juzi, jambo hilo lilitokea katika Pwani na wavuvi wakapewa pesa duni. Imekuwa hivyo kwa muda mrefu sasa - hawawezi kuvua. Wale Wataliano walioko pale wamechimba, wameweka majerifa na wamechafua pale. Papa wamejaa kwa sababu ya meli zinazokuja. Fidia ya Mkenya maskini iko wapi kupitia kilimo? Kwa hayo mengi, kilimo cha samaki kiwe muongozo wa Shabaha 2030."
}