GET /api/v0.1/hansard/entries/362328/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362328,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362328/?format=api",
    "text_counter": 136,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Naibu Spika, nilikuwa katika Bunge la Tisa na najua mshahara wangu ulikuwa wa pesa ngapi. Nimekuja katika Bunge la Kumi na Moja. Ni nini kimebadilika kwa wajibu wangu kama Mbunge au wajibu wa Bunge hili? Tofauti ni nini? Ni nini inaongoza Tume hiyo kukata mshahara wangu kwa asilimia 57 bila kunihusisha mimi kama mfanyi kazi. Kipengele 41 cha Katiba kinamwambia: “Umekosea sheria.” Mhe. Naibu Spika, ukiangalia vile walivyofanya ranking, Kipengele cha 3 cha sheria za Kenya kimefanya ranking na kimemaliza maneno. Kipengele cha 3 kimetoa"
}