GET /api/v0.1/hansard/entries/362333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362333,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362333/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kamwe, kama Bunge na kama Wabunge, hatutaunga Sarah Serem mkono. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii na kusema kwamba tume zote za taifa zifanyiwe uchunguzi. Wale wanayovunja Sheria tulete Hoja na wakwende wapumzike. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii."
}