GET /api/v0.1/hansard/entries/363101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 363101,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363101/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Ahsante Mheshimiwa Spika, nimesimama kwa hoja ya nidhamu. Natumaini umesikia Mheshimiwa aliyezungumza mbele yangu akisema mwenendo wa mataifa ya Kiafrika umeongozwa na nchi za Kiafrika zisizokuwa na rekodi nzuri ya haki za binadamu. Je, Mh. Spika, Bunge hili au mwanachama yeyote wa Bunge hili anaruhusiwa kuzungumzia ubaya wa nchi jirani yetu? Ahsante Mhe. Spika."
}