GET /api/v0.1/hansard/entries/363511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 363511,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363511/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Ninachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu. Bunge, kama chuo ama taasisi, inafikia upeo siku kama leo wakati tunafanya maamuzi ya kihistoria. Wakati kiongozi wa wachache anapendekeza fulani awe Waziri, kwa hakika Bunge linafika upeo wa demokrasia."
}