GET /api/v0.1/hansard/entries/363516/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 363516,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363516/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Bw. Spika, kuna jambo ambalo ningependa kumuomba mhe. ole Lenku aliangazie. Kwa nini? Kuna akina mama waliozaa watoto wanne ama watano katika sehemu fulani humu nchini, ambao mpaka sasa bado hawajapata vitambulisho. Akina mama hao wanapatikana katika sehemu ya Hirimani, katika eneo Bunge la Bura. Ninamwomba mhe. ole Lenku aliangazie suala la utoaji vitambulisho kwa Wakenya, ndio shughuli hiyo ifanywe kwa njia ya haki na usawa kwa Wakenya wote."
}