GET /api/v0.1/hansard/entries/363760/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 363760,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363760/?format=api",
"text_counter": 350,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Ahsante sana mhe. Naibu Spika. Vile vile, ningependa kumpongeza mhe. Joseph Gitari kwa kuleta Hoja hii. Mwenyezi Mungu ndiyo anajalia mwanadamu kuwa na utajiri au umaskini na mimi ningeomba Wabunge tupitishe Hoja hii."
}