GET /api/v0.1/hansard/entries/363764/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 363764,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363764/?format=api",
    "text_counter": 354,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ningeomba Serikali itilie Hoja hii maanani. Hoja nyingi zinapitishwa lakini hatuna hakika kama Hoja hizo zitakuwa sawasawa na zitatekelezwa. Sisi tunapitisha Hoja tukijua kwa imani ya kuwa Serikali iliyoingia sasa hivi itatatua masuala haya. Umasikini umekithiri sana. Watafiti wameshindwa na ugonjwa ya saratani na figo. Watafiti wameshindwa kutambua hayo magonjwa hupatikana kivipi. Lakini sisi tukiwa kama viongozi na Wabunge, tunaomba Serikali pia"
}