GET /api/v0.1/hansard/entries/363767/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 363767,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363767/?format=api",
    "text_counter": 357,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "nayo iangalie kwa sababu kutibu ugonjwa wa saratani ama figo inahitaji uwe na nafasi kubwa sana. Mimi kama Mwashetani pia, vile vile, ni mmoja wao kupitia kwa mzee wangu. Nimemtibu mzee wangu kwa miaka saba na Mwenyezi Mungu akamchukua kutokana na saratani ya aesophagus ama umio; yaani ile pipe ama mpira ya kupitisha upepo wa mwanadamu."
}