GET /api/v0.1/hansard/entries/364463/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 364463,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364463/?format=api",
    "text_counter": 231,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pili, ni lazima Wabunge waelewe kwamba nchi yetu ya Kenya ina shida ya upungufu wa Kshs102 bilioni. Kwa sababu ya upungufu huo, hatukuweza kuyakidhi matakwa ya kila mtu. Kwa hivyo, tunawasihi ndugu zetu watuwie radhi na wakubaliane nasi kwa sababu tumejaribu sana."
}