GET /api/v0.1/hansard/entries/364466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 364466,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364466/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mwishowe, ningependa kusema tulitembea Kenya nzima na tulizungumza na wananchi. Na ningependa kukataa kata kata kwamba tulipoenda Kisumu kuna mtu lipiga Kamati yetu mawe. Ningependa kumalizia kwa kusema kwamba tulikaribishwa Kisumu na wananchi walizungumzia kwa ukali mambo ambayo yalikuwa yanawakera ya maendeleo. Walikuwa wanataka Bunge lihakikishe kwamba mwaka ujao, ikiwezekana, Wabunge waondoke Nairobi na kutembelea mashinani ili wananchi wawaambie vile wangependa pesa zao zigawe ili Kenya iwe na maendeleo ya usawa."
}