GET /api/v0.1/hansard/entries/364798/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 364798,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364798/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "s",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "hukrani Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuichangia Hoja hii. Kwa kweli Hoja hii imekuja wakati ambao ni muhimu sana kwa sisi kuijadili ili kutoa mwelekeo kulingana na hali ya kiafya ilivyo katika nchi yetu. Bw. Naibu Spika wa Muda Katiba ya Kenya katika Kipengele cha 43 kinasema: “Every person has the right to the highest attainable standard of health, which includes the right to healthcare services---” Wakenya walipitisha Katiba na ukweli ni kwamba ni haki ya kila mkenya kuhakikishiwa kwamba amepata huduma ya matibabu popote pale alipo; lakini ni masitiko makubwa---"
}