GET /api/v0.1/hansard/entries/364922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 364922,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364922/?format=api",
"text_counter": 224,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwamba Wakenya wamepata matibabu na madawa yanayofaa. Hivi sasa, wengi wanaendelea kutegemea na hata hawawezi kupata watu wakuwaambia ni dawa gani zinafaa. Wanakimbilia miti shamba na sasa bei ni ghali mno kwa sababu wanatafuta tiba kila mahali na mwishowe, utapata hata hawawezi kutibiwa na wanaendelea kuadhiriwa na magonjwa."
}