GET /api/v0.1/hansard/entries/364952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 364952,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364952/?format=api",
"text_counter": 254,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ya kaunti? Naomba hili jambo liangaliwe sana. Kwa mfano, katika eneo la Kwale, msichana mmoja tu aliitwa kwenda kuhojiwa, lakini hakuweza kuchukuliwa. Je, kuna usawa katika uajiri? Tunaomba kwamba katika upande wa uajiri, pia uangaliwe na uweze kutekelezwa kulingana na Katiba ili kuwe na usawa. Kila mahali tunahitaji watu wa kutuhudumia. Sio kwamba upande mmoja waajiriwe na upande mwingine, wasiajiriwe."
}