GET /api/v0.1/hansard/entries/364954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 364954,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364954/?format=api",
    "text_counter": 256,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Naunga mkono Hoja hii, lakini tuwe na usawa katika uajiri na uajiri ufanywe kule mashinani. Pia wale wanaosimamia wanasema kwamba lazima mhojiwa awe amehitimu na awe na ujuzi wa kazi hiyo wa miaka mitatu ama mitano. Ikiwa mtu hakuajiriwa hata siku moja, atatoa wapi ujuzi wa miaka hiyo mitatu au mitano? Maadamu hao watu walienda chuoni na wakasoma, ni vizuri waajiriwe ndio waweze kupata ujuzi. Waajiriwe katika mashinani, sio kuitwa Nairobi kuhojiwa. Wabunge hawana pesa na wanaambiwa wawakatie tikiti ya kusafiri kuja Nairobi ili waweze kuhojiwa na kuajiriwa. Tunaomba jambo hili litiliwe maanani."
}