GET /api/v0.1/hansard/entries/364994/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 364994,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364994/?format=api",
"text_counter": 296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Shimbwa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1345,
"legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
"slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa muda, vile vile nasimama kuunga mkono Hoja hii. Hoja hii inalingana na jukumu la Bunge kuwa itaweza kujadili na kutatua matatizo ambayo yanahusiana na wananchi kama inavyosema Katika katiba Kifungo cha 95(2). Pia, naunga mkono Hoja hii ambayo inaungwa mkono na Katiba katika Kifungo cha 19(2) na 20(2) ambayo imezungumzia kuhusu haki za raia ambazo zatakiwa watu wafaidike kwa kikamilifu. Tukiangalia katika Kifungo cha 43(1)(a) ambacho kinazungumzia haki za afya za wananchi, yatakiwa wananchi wapate huduma kwa hali ya juu kabisa. Tukimalizia, watu wazima ama wale ambao ni wazee, Katiba vile vile katika Kifungo cha 57(b) inasema wanatakiwa wapate huduma bora kutoka kwa watu wao na Serikali."
}