GET /api/v0.1/hansard/entries/365201/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 365201,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/365201/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Naunga mkono Hoja hii kwa sababu itatatuwa tatizo kubwa tulilonalo humu nchini. Tumezungumza hapa kwamba vijana wengi wameingilia mambo ya mihadarati. Wakipewa pesa hizi wao wenyewe wana lugha zao. Wataongea wenyewe kwa wenyewe na watatua shida hii ya matumizi ya mihadarati. Naomba tutilie maanani wazo kuwa kijana akipewa chombo cha kujiendeleza kimaisha hatarudi tena mtaani kuvuta unga ama kupiga watu kabari. Atarudi shambani ama kwenye kufanya biashara. Baadaye tutakuwa na viongozi walio na nidhamu. Naunga mkono."
}