GET /api/v0.1/hansard/entries/365912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 365912,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/365912/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "wale ambao wanastahili zile pesa, hawapewi. Tunaomba na tunatilia mkazo kwamba Hoja hii, ambayo imeletwa na mhe. Dukicha, itiliwe maanani na Serikali ya Jubilee na ione umuhimu wa watoto kupata elimu kwa wakati unaofaa. Tunaomba pesa za elimu zielekezwa kwa ASALs kwa wingi ili tujenge shule. Pia, wafadhili wanaotoka nje waache kuangalia Serikali kuu kwa sababu katika Serikali kuu sio kwamba ndiko kuna utendaji wa kazi pekee. Utendaji wa mambo sasa uko katika maeneo ya Bunge na kaunti. Peza zipelekwe kwa maeneo ya Bunge ili tuweze kuboresha maisha ya watu wetu. Ninaunga mkono Hoja hii."
}