GET /api/v0.1/hansard/entries/368560/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 368560,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/368560/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Hoja hii inazungumza juu ya mtoto mwelevu. Watoto welevu ni tegemeo la taifa lolote. Kama watoto welevu ni tegemeo la nchi hii katika siku za uzoni, lazima kuwe na mikakati. Tuna pesa ngapi katika kila sehemu ya uwakilishi Bunge kuwawezesha watoto hao kusoma? Nasikitika kwamba katika sehemu ninayotoka hasa Boka, Ilimani na Asa, mpaka leo, watoto hawapati fursa ya kupata manufaa ya elimu ya kawaida."
}