GET /api/v0.1/hansard/entries/369365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 369365,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369365/?format=api",
    "text_counter": 139,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Naibu Spika, nimesimama kuunga mkono Hoja hii kwa sababu mara nyingi unakuta kwamba watu wakipatikana na mafuriko ama majanga ambayo yamesababishwa na binadamu, Serikali huwa wakati mwingi inaanza kutafuta bajeti ya kuhakikisha kwamba lile jambo limesuluhishwa. Utaona kwamba hili linatatiza ile mipango mingine ya kimaendeleo, kwa sababu ni lazima Serikali ianze kutafuta pesa za miradi ambayo tayari ilikuwa imeafikiwa."
}