GET /api/v0.1/hansard/entries/369366/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 369366,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369366/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Jambo ambalo pia ni la kushangaza ni kwa sababu wakati kunapotokea mafuriko ama majanga kama mengine, watu wengine huchukua nafasi ile kujitajirisha, au kutafuta pesa za kuwafaidi wao binafsi. Hii nchi imeweza kushuhudia--- Kwa mfano, wakati tulikuwa na njaa na kulisemekana kwamba kulikuwa na kashfa ya mahindi. Utakumbuka kwamba pia kuna mambo ambayo yametendeka kwa IDPs. Utakuta watu pia katika janga kama lile, walichukua ile nafasi kama matapeli kupitia ununuzi wa ardhi. Hii nchi pia inajua vile ambavyo Wakenya wamekuwa wakiiomba Serikali iweze kuwasaidia ili kujikimu katika maisha ya kila siku, na katika mambo ambayo wanahitaji kama nyumba, chakula na kadhalika."
}