GET /api/v0.1/hansard/entries/369419/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 369419,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369419/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Dukicha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1480,
        "legal_name": "Hassan Abdi Dukicha",
        "slug": "hassan-abdi-dukicha"
    },
    "content": "Ahsante sana mhe. Naibu Spika. Naunga mkono Hoja hii. Kwanza, nampongeza sana mhe. T.G. Ali kwa kuleta Hoja muhimu kama hii katika Bunge hili. Ni kweli kabisa kwamba wakati wa mafuriko, watu hupata shinda sana nchini, hasa, Galole na Tana River. Mafuriko husababisha mambo mengi sana kama vile watu kuhama kutoka sehemu wanayoishi kuenda sehemu zingine na watoto wa shule kushindwa kufika shuleni kwa sababu maji hujaa kila mahali."
}