GET /api/v0.1/hansard/entries/369763/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 369763,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369763/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Ahsante mhe. Spika. Yangu si mengi kwa sababu nimekaa na Njee Muturi kwa miaka mingi na wana-CORD ambao wako katika Bunge hili walimjua mwaka wa 2001 wakati wa muungano wa NDP na KANU. Njee alikuwa mratibu wetu. Tulitembea na Njee sambamba mpaka dakika ya mwisho. Halafu mwaka wa 2005, wakati wa kura ya maoni ya chungwa na ndizi, Njee alikuwa mratibu wa taifa. Tulimpigia makofi kwa sababu aliweza kutueleza vizuri na tukaenda vizuri na ilikuwa nzuri. Na chama changu cha CORD pia mimi najua ya kwamba kiliendelea vizuri. Yangu si mengi. Nataka kuwaeleze wenzangu ya kwamba hakuna maana tunaita mtu wakati wa vita na vita vikiisha wakati wa kula, tunampiga makofi."
}