GET /api/v0.1/hansard/entries/369768/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 369768,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369768/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Namuunga mkono Njee kwa sababu nambari ya simu alionipatia mwaka wa 2001hajabadilisha. Lakini nasema ya kwamba nina imani na wenzangu. Naunga mkono kama vile wengine wamefanya na hii ni mambo ya nchi yetu ya Kenya. Sio jambo la mtu moja. Nasema kwamba sipingi. Nasema kwamba Njee ako sawa kwa sababu namjua."
}