GET /api/v0.1/hansard/entries/369786/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 369786,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369786/?format=api",
    "text_counter": 221,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Shimbwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1345,
        "legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
        "slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
    },
    "content": "Mhe. Spika, nakushukuru. Ningependa kulifahamisha Bunge hili kwamba hatuongei kama watu wa CORD wala sisi hatuna ukabila, tunawawakilisha Wakenya. Tukiona sehemu ambazo tunazotoka haziangaliwi na tumepewa ahadi na Makamu wa Rais kuwa baada ya kura, hakuna tena mambo ya CORD wala Jubilee, ni lazima tuongee."
}