GET /api/v0.1/hansard/entries/369791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 369791,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369791/?format=api",
"text_counter": 226,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Shimbwa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1345,
"legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
"slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
},
"content": "Bw. Spika, nayaheshimu maoni ya mheshimiwa aliyezungumza lakini ukweli ni kwamba sisi kama Wabunge wa Bunge la Kumi na Moja, hatutaki kurudi kule ambako tumetoka kama nchi. Tunataka tuwe nchi ambayo kabila zote zimeshikana pamoja ili tulijenge taifa hili. Kwa ufupi, tusiwe na machungu tunapozungumza ukweli. Ni lazima tukubali ukweli. Mkuu wa Wengi ako hapa na ni lazima amshauri Rais wetu. Wabunge wanamuuliza awe kiongozi wa kitaifa kama vile Wakenya walivyomchagua. Kwa ufupi, tunamheshimu. Naunga mkono kuteuliwa kwa Njee Muturi lakini ni lazima uteuzi wote utakaofanyika kuanzia sasa ufanywe kutoka taifa nzima."
}