GET /api/v0.1/hansard/entries/369792/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 369792,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/369792/?format=api",
"text_counter": 227,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Waititu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1618,
"legal_name": "Francis Munyua Waititu",
"slug": "francis-munyua-waititu"
},
"content": "Jambo la Nidhamu, mhe. Spika. Ningependa kuwajulisha kwamba hata ukienda katika nyumba za kuhifadhia maiti, utaona ni watu wapi wamekufa wengi leo. Pia, ukienda jela, utaona ni nani wako wengi. Hata ukiangalia wezi, utaona ni akina nani wako wengi. Ukiangalia hata kanisani, utaona ni akina nani wako wengi. Kwa hivyo, sio kupenda kwetu, mtuwie radhi."
}