GET /api/v0.1/hansard/entries/370414/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 370414,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370414/?format=api",
"text_counter": 404,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Historia ya miraa ni ndefu sana. Katika mwaka wa 1814, kulingana na historia ya jamii ya Wameru, miraa iliponya mzee mmoja, Bw. Laibuta, aliyekuwa na ugongjwa wa kifua kikuu wakati kulikuwa hakuna hospitali Meru. Watu waliona kuwa huyo mzee angekufa lakini wazee walichemshia"
}