GET /api/v0.1/hansard/entries/370416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370416,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370416/?format=api",
    "text_counter": 406,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aburi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": "na wakaitengeneza ikawa maji maji. Walimpatia huyo mzee hayo maji ya miraa kwa wiki moja na akapona na kuishi maisha mema tangu wakati huo. Ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu katika jamii ya Wameru, ukitaka kumleta bibi nyumbani ni lazima uwe na miraa . Bila miraa, huwezi kumleta bibi nyumbani."
}