GET /api/v0.1/hansard/entries/370418/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 370418,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370418/?format=api",
"text_counter": 408,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "ni kitu cha maana sana kwa Wameru. Tukizozana au ukosane na mzee wa rika yako ama mama, unaletewa miraa na wazee ambayo imetemewa mate ndio uile na kusema kwamba wewe hukutenda mambo ambayo unawekelewa. Zamani hakukuwa na koti; koti ilikuwa ni ya wazee wa Njuri Ncheke. Wazee wa Njuri Ncheke wakisema kuwa"
}