GET /api/v0.1/hansard/entries/370421/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370421,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370421/?format=api",
    "text_counter": 411,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "umeua mtu na wewe usema kuwa haujaua mtu, walichuna miraa na wakaitemea mate. Walikwambia kwamba kama hukuua mtu, uile ile miraa na kusema kuwa hukuua mtu. Kama ulikuwa umeua mtu, hungeweza kuila ile miraa kwa sababu haingeweza kuteremka kwa koo yako. Ungekufa. Kwa hivyo, miraa inaamiwa na Wameru zaidi. Katika jamii ya Wameru, miraa ni dawa na niko na ushahidi kuwa iliponya mtoto wangu. Mimi ni mtafunaji wa miraa na hutafuna miraa kuanzia ijumaa jioni mpaka asubuhi, na sijawahi kuwa mgonjwa. Niko na ekari 11 za miraa. Mimi ni mbunge na hutafuna miraa ; sina wazimu na sijawahi kukosa usingizi. Bado niko na afya nzuri. Wakenya wakiniangalia kama mtafunaji miraa wataona kwamba niko na afya ya kutosha. Wakati tunapoenda kuchunga ngombe na kuwe hakuna chakula, mzee huweka miraa kwa mfuko na akikula g itundu mbili au tatu, hawezi kuhisi njaa tena. Anaweza kutembea siku nzima bila kuhisi njaa. Mtoto akiwa mgonjwa usiku na huna pesa za kumpeleka hospitali, na hata mahali kwingine hakuna magari, ukitafuna miraa na umpatie mate yenye maji ya"
}